Akili Interactive has revealed the findings of a trial of its digital therapeutic (DTx) for attention-deficit hyperactivity disorder (ADHD) in adults, suggesting it may be more effective in this ...
RIPOTI ya utafiti kuhusu afya ya akili imebaini vijana wa kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa akili, wakipata alama za juu katika ustawi eneo hilo kati ya nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani.
SERIKALI na Sekta binafsi zimeombwa kutenga vyumba maalum kwa ajili ya watu wanaokabiliwa na changamoto ya akili, ili waweze kujieleza na kupata msaada unaohitajika. Ombi hilo limekuja kutokana na ...